Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 3 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿خَافِضَةٞ رَّافِعَةٌ ﴾
[الوَاقِعة: 3]
﴿خافضة رافعة﴾ [الوَاقِعة: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni chenye kuwainamisha chini maadui wa Mwenyezi Mungu ndani ya Moto na ni chenye kuwainua juu Peponi wale wenye kumtegemea |