Quran with Swahili translation - Surah Al-hadid ayat 2 - الحدِيد - Page - Juz 27
﴿لَهُۥ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ يُحۡيِۦ وَيُمِيتُۖ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٌ ﴾
[الحدِيد: 2]
﴿له ملك السموات والأرض يحيي ويميت وهو على كل شيء قدير﴾ [الحدِيد: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni Yake mamlaka ya mbinguni na ardhini na vilivyomo ndani yake. Yeye Ndiye Mmiliki Mwenye kuendesha mambo ya viumbe Vyake, Anahuisha na kufisha, na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza, hakuna kinachomshinda Akikitaka kifanyike, Anachokitaka kinakuwa, na Asichokitaka hakiwi |