×

Kinamsabihi kumtakasa Mwenyezi Mungu kila kiliomo ndani ya mbingu na ardhi. Na 57:1 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hadid ⮕ (57:1) ayat 1 in Swahili

57:1 Surah Al-hadid ayat 1 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hadid ayat 1 - الحدِيد - Page - Juz 27

﴿سَبَّحَ لِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ وَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ﴾
[الحدِيد: 1]

Kinamsabihi kumtakasa Mwenyezi Mungu kila kiliomo ndani ya mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: سبح لله ما في السموات والأرض وهو العزيز الحكيم, باللغة السواحيلية

﴿سبح لله ما في السموات والأرض وهو العزيز الحكيم﴾ [الحدِيد: 1]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Vinamtakasa Mwenyezi Mungu viumbe Vyake vyote vilivyoko mbinguni na ardhini. Na Yeye ni Mshindi juu ya viumbe Vyake, Mwingi wa hekima katika uendeshaji mambo yao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek