Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 36 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿مَا لَكُمۡ كَيۡفَ تَحۡكُمُونَ ﴾
[القَلَم: 36]
﴿ما لكم كيف تحكمون﴾ [القَلَم: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mna nini nyinyi? Vipi mnatoa uamuzi huu wa kudhalimu, mkalinganisha baina yao katika malipo |