Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 37 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿أَمۡ لَكُمۡ كِتَٰبٞ فِيهِ تَدۡرُسُونَ ﴾
[القَلَم: 37]
﴿أم لكم كتاب فيه تدرسون﴾ [القَلَم: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au nyinyi mna kitabu kilichoteremshwa kutoka mbinguni ambacho mnakuta ndani yake kuwa mtiifu ni kama muasi, mkawa mnayasoma hayo mnayoyasema |