Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 15 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿قَالَ إِنَّكَ مِنَ ٱلۡمُنظَرِينَ ﴾
[الأعرَاف: 15]
﴿قال إنك من المنظرين﴾ [الأعرَاف: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akasema Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, «Wewe ni miongoni mwa wale niliowaandikia kucheleweshwa kipindi chao cha kufa mpaka Mvivio wa Kwanza katika Parapanda pindi viumbe wote watakapokufa.» |