Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 14 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿قَالَ أَنظِرۡنِيٓ إِلَىٰ يَوۡمِ يُبۡعَثُونَ ﴾
[الأعرَاف: 14]
﴿قال أنظرني إلى يوم يبعثون﴾ [الأعرَاف: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iblisi akasema kumwambia Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, alipokata tamaa na rehema Yake, «Nipe muda mpaka Siku ya watu kufufuliwa, ili nipate kumpoteza ninayeweza kumpoteza kati ya wanadamu.» |