Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 16 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿قَالَ فَبِمَآ أَغۡوَيۡتَنِي لَأَقۡعُدَنَّ لَهُمۡ صِرَٰطَكَ ٱلۡمُسۡتَقِيمَ ﴾
[الأعرَاف: 16]
﴿قال فبما أغويتني لأقعدن لهم صراطك المستقيم﴾ [الأعرَاف: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iblisi akasema, Mwenyezi Mungu Amlaani, «Kwa sababu ya kuwa wewe umenipoteza, nitafanya bidii katika kuwapoteza binadamu wawe kando ya njia yako iliyolingana sawa na nitawazuia wao wasiuuandame Uislamu ambao wanasibiana na umbile lao ulilowaumbia |