×

Hakika Mlinzi wangu ni Mwenyezi Mungu aliye teremsha Kitabu. Naye ndiye awalindae 7:196 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:196) ayat 196 in Swahili

7:196 Surah Al-A‘raf ayat 196 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 196 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿إِنَّ وَلِـِّۧيَ ٱللَّهُ ٱلَّذِي نَزَّلَ ٱلۡكِتَٰبَۖ وَهُوَ يَتَوَلَّى ٱلصَّٰلِحِينَ ﴾
[الأعرَاف: 196]

Hakika Mlinzi wangu ni Mwenyezi Mungu aliye teremsha Kitabu. Naye ndiye awalindae walio wema

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن وليي الله الذي نـزل الكتاب وهو يتولى الصالحين, باللغة السواحيلية

﴿إن وليي الله الذي نـزل الكتاب وهو يتولى الصالحين﴾ [الأعرَاف: 196]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Hakika mtegemewa wangu ni Mwenyezi Mungu Ambaye Anasimamia kunihifadhi na kunipa ushindi. Yeye Ndiye Ambaye Aliniteremshia Qur’ani kwa haki na Yeye Anawasimamia walio wema miongoni mwa waja wake na anawapa ushindi juu ya maadui zao na Haachi kuwasaidia.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek