Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 68 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿أُبَلِّغُكُمۡ رِسَٰلَٰتِ رَبِّي وَأَنَا۠ لَكُمۡ نَاصِحٌ أَمِينٌ ﴾
[الأعرَاف: 68]
﴿أبلغكم رسالات ربي وأنا لكم ناصح أمين﴾ [الأعرَاف: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Ninawafikishia nyinyi yale ambayo Amenituma nayo Mola wangu kwenu. Na mimi kwenu, katika yale niliyowaita kwayo ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kuitumia sheria Yake, ni mshauri mwenye imani, ni muaminifu juu ya wahyi wa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka |