Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 91 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿فَأَخَذَتۡهُمُ ٱلرَّجۡفَةُ فَأَصۡبَحُواْ فِي دَارِهِمۡ جَٰثِمِينَ ﴾
[الأعرَاف: 91]
﴿فأخذتهم الرجفة فأصبحوا في دارهم جاثمين﴾ [الأعرَاف: 91]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo watu wa Shu'ayb wakashikwa na mtetemeko mkali, wakawa wameangushwa kwenye mji wao hali ya kuwa wamekufa |