Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 92 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿ٱلَّذِينَ كَذَّبُواْ شُعَيۡبٗا كَأَن لَّمۡ يَغۡنَوۡاْ فِيهَاۚ ٱلَّذِينَ كَذَّبُواْ شُعَيۡبٗا كَانُواْ هُمُ ٱلۡخَٰسِرِينَ ﴾
[الأعرَاف: 92]
﴿الذين كذبوا شعيبا كأن لم يغنوا فيها الذين كذبوا شعيبا كانوا هم﴾ [الأعرَاف: 92]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wale ambao walimkanusha Shu'ayb walikuwa kama kwamba hawakukaa kwenye nyumba zao wala hawakustarehe humo. Kwani walimalizwa, isibaki alama yoyote yao, wakapatikana na hasara na maangamivu duniani na Akhera |