Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 10 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿وَلَا يَسۡـَٔلُ حَمِيمٌ حَمِيمٗا ﴾
[المَعَارج: 10]
﴿ولا يسأل حميم حميما﴾ [المَعَارج: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wala mtu hatamuuliza jamaa yake wa karibu kuhusu jambo lake, kwani kila mmoja ameshughulishwa na nafsi yake |