×

Ijapo kuwa wataonyeshwa waonane. Atatamani mkosefu lau ajikomboe na adhabu ya siku 70:11 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma‘arij ⮕ (70:11) ayat 11 in Swahili

70:11 Surah Al-Ma‘arij ayat 11 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 11 - المَعَارج - Page - Juz 29

﴿يُبَصَّرُونَهُمۡۚ يَوَدُّ ٱلۡمُجۡرِمُ لَوۡ يَفۡتَدِي مِنۡ عَذَابِ يَوۡمِئِذِۭ بِبَنِيهِ ﴾
[المَعَارج: 11]

Ijapo kuwa wataonyeshwa waonane. Atatamani mkosefu lau ajikomboe na adhabu ya siku hiyo kwa kuwatoa fidia wanawe

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يبصرونهم يود المجرم لو يفتدي من عذاب يومئذ ببنيه, باللغة السواحيلية

﴿يبصرونهم يود المجرم لو يفتدي من عذاب يومئذ ببنيه﴾ [المَعَارج: 11]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Watawaona na watawajua, na hakuna yoyote atakayeweza kumnufaisha yoyote. Kafiri atatamani lau ajikomboa nafsi yake na adhabu ya Siku ya Kiyama kwa watoto wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek