Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 3 - نُوح - Page - Juz 29
﴿أَنِ ٱعۡبُدُواْ ٱللَّهَ وَٱتَّقُوهُ وَأَطِيعُونِ ﴾
[نُوح: 3]
﴿أن اعبدوا الله واتقوه وأطيعون﴾ [نُوح: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mimi ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwenu. Muabuduni Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Peke Yake na muogopeni Yeye na nitiini mimi katika kile ninachowaamrisha nyinyi na kuwakataza. Basi mkinitii mimi na mkanikubalia |