Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 2 - نُوح - Page - Juz 29
﴿قَالَ يَٰقَوۡمِ إِنِّي لَكُمۡ نَذِيرٞ مُّبِينٌ ﴾
[نُوح: 2]
﴿قال ياقوم إني لكم نذير مبين﴾ [نُوح: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ akasema, «Enyi watu wangu! Mimi kwenu nyinyi ni mwonyaji waziwazi, anayewaonya nyinyi adhabu ya Mwenyezi Mungu iwapo mtamuasi |