Quran with Swahili translation - Surah Al-Muzzammil ayat 7 - المُزمل - Page - Juz 29
﴿إِنَّ لَكَ فِي ٱلنَّهَارِ سَبۡحٗا طَوِيلٗا ﴾
[المُزمل: 7]
﴿إن لك في النهار سبحا طويلا﴾ [المُزمل: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wewe katika kipindi cha mchana una wakati wa kuzunguka na kushughulika katika mambo yenye maslahi nawe na kufanya harakati nyingi kwa majukumu ya utume, basi wakati wa usiku ipe nafasi nafsi yako kumuabudu Mola wako |