Quran with Swahili translation - Surah Al-Muzzammil ayat 6 - المُزمل - Page - Juz 29
﴿إِنَّ نَاشِئَةَ ٱلَّيۡلِ هِيَ أَشَدُّ وَطۡـٔٗا وَأَقۡوَمُ قِيلًا ﴾
[المُزمل: 6]
﴿إن ناشئة الليل هي أشد وطئا وأقوم قيلا﴾ [المُزمل: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika ibada inayo inayofanya ndani ya usiku ina athari kubwa zaid moyoni, na maneno yanabainika zaidi, kwa kuwa moyo uko mtupu hauna mashughuli ya kilimwengu |