Quran with Swahili translation - Surah Al-Muddaththir ayat 53 - المُدثر - Page - Juz 29
﴿كـَلَّاۖ بَل لَّا يَخَافُونَ ٱلۡأٓخِرَةَ ﴾
[المُدثر: 53]
﴿كلا بل لا يخافون الآخرة﴾ [المُدثر: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mambo si hivyo kama wanavyodai. Ukweli ni kwamba wao hawaiogopi Akhera wala hawaamini kuwa kuna kufufuliwa na kulipwa |