Quran with Swahili translation - Surah An-Nazi‘at ayat 26 - النَّازعَات - Page - Juz 30
﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَعِبۡرَةٗ لِّمَن يَخۡشَىٰٓ ﴾
[النَّازعَات: 26]
﴿إن في ذلك لعبرة لمن يخشى﴾ [النَّازعَات: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Akaifanya adhabu hiyo iwe ni mazingatio na ni onyo kwa watu mfano wake kati ya wale waasi. Hakika Firauni na kile kilichompata cha adhabu ni mawaidha kwa mwenye kuwaidhika na kutishika |