Quran with Swahili translation - Surah An-Nazi‘at ayat 27 - النَّازعَات - Page - Juz 30
﴿ءَأَنتُمۡ أَشَدُّ خَلۡقًا أَمِ ٱلسَّمَآءُۚ بَنَىٰهَا ﴾
[النَّازعَات: 27]
﴿أأنتم أشد خلقا أم السماء بناها﴾ [النَّازعَات: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, kufufuliwa kwenu, enyi watu, baada ya kufa ni kugumu zaidi, katika vipimo vyenu, au ni kuumbwa kwa mbingu |