×

Na jueni ya kwamba mali zenu na wana wenu ni Fitna (mtihani), 8:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:28) ayat 28 in Swahili

8:28 Surah Al-Anfal ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 28 - الأنفَال - Page - Juz 9

﴿وَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّمَآ أَمۡوَٰلُكُمۡ وَأَوۡلَٰدُكُمۡ فِتۡنَةٞ وَأَنَّ ٱللَّهَ عِندَهُۥٓ أَجۡرٌ عَظِيمٞ ﴾
[الأنفَال: 28]

Na jueni ya kwamba mali zenu na wana wenu ni Fitna (mtihani), na kwamba kwa Mwenyezi Mungu upo ujira mkubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: واعلموا أنما أموالكم وأولادكم فتنة وأن الله عنده أجر عظيم, باللغة السواحيلية

﴿واعلموا أنما أموالكم وأولادكم فتنة وأن الله عنده أجر عظيم﴾ [الأنفَال: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mjue, enyi Waumini, kwamba mali yenu ambayo Mwenyezi Mungu Amewapa jukumu la kuyasimamia, na watoto wenu ambao Mwenyezi Mungu Amewapa, ni mtihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu na ni majaribio kwa waja Wake, ili Ajue: watamshukuru kwa neema hizo na kumtii au watashughulika nazo wamsahau Yeye? Na jueni kwamba mbele ya Mwenyezi Mungu kuna heri na thawabu kubwa kwa anayemcha na kumtii
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek