×

Na kama wakigeuka basi jueni kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mola wenu, ni 8:40 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:40) ayat 40 in Swahili

8:40 Surah Al-Anfal ayat 40 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 40 - الأنفَال - Page - Juz 9

﴿وَإِن تَوَلَّوۡاْ فَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّ ٱللَّهَ مَوۡلَىٰكُمۡۚ نِعۡمَ ٱلۡمَوۡلَىٰ وَنِعۡمَ ٱلنَّصِيرُ ﴾
[الأنفَال: 40]

Na kama wakigeuka basi jueni kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mola wenu, ni Mola Mwema na Msaidizi Mwema

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن تولوا فاعلموا أن الله مولاكم نعم المولى ونعم النصير, باللغة السواحيلية

﴿وإن تولوا فاعلموا أن الله مولاكم نعم المولى ونعم النصير﴾ [الأنفَال: 40]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wakiyapa mgongo hawa washirikina yale mliyowaitia, enyi Waumini, ya kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na kuacha kuwapiga vita nyinyi, na wakakataa isipokuwa kuendelea kwenye ukafiri na kuwapiga vita nyinyi, basi kuweni na yakini kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwasaidia na kuwapa ushindi juu yao. Yeye Ndiye bora wa kuwasaidia na kuwapa nyinyi ushindi na wale wenye kujitegemeza Kwake juu ya maadui zenu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek