Quran with Swahili translation - Surah Al-MuTaffifin ayat 35 - المُطَففين - Page - Juz 30
﴿عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ يَنظُرُونَ ﴾
[المُطَففين: 35]
﴿على الأرائك ينظرون﴾ [المُطَففين: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Juu ya viti vya fahari, watakuwa Waumini wanaangalia yale Aliyowapa Mwenyezi Mungu miongoni mwa mambo matukufu na neema, wakiwa Peponi. Na neema kubwa ya zote ni kuangalia Uso wa Mwenyezi Mungu Mtukufu |