Quran with Swahili translation - Surah Al-MuTaffifin ayat 34 - المُطَففين - Page - Juz 30
﴿فَٱلۡيَوۡمَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ مِنَ ٱلۡكُفَّارِ يَضۡحَكُونَ ﴾
[المُطَففين: 34]
﴿فاليوم الذين آمنوا من الكفار يضحكون﴾ [المُطَففين: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi Siku ya Kiyama wale waliomkubali Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakafanya vitendo vinavyolingana na sheria Zake, watawafanyia maskhara makafiri kama makafiri walivyokuwa wakiwafanyia mashara duniani |