Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘la ayat 1 - الأعلى - Page - Juz 30
﴿سَبِّحِ ٱسۡمَ رَبِّكَ ٱلۡأَعۡلَى ﴾
[الأعلى: 1]
﴿سبح اسم ربك الأعلى﴾ [الأعلى: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Takasa Jina la Mola wako Aliyetukuka na kuepukana na mshirika na kila sifa pungufu kwa namna inayonasibiana na utukufu Wake na utakatifu Wake |