Quran with Swahili translation - Surah Al-Fajr ayat 10 - الفَجر - Page - Juz 30
﴿وَفِرۡعَوۡنَ ذِي ٱلۡأَوۡتَادِ ﴾
[الفَجر: 10]
﴿وفرعون ذي الأوتاد﴾ [الفَجر: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na vipi Alivyomfanya Firauni, mfalme wa Misri, aliyekuwa na askari waliouhami ufalme wake na kuutilia nguvu |