Quran with Swahili translation - Surah Al-Fajr ayat 9 - الفَجر - Page - Juz 30
﴿وَثَمُودَ ٱلَّذِينَ جَابُواْ ٱلصَّخۡرَ بِٱلۡوَادِ ﴾
[الفَجر: 9]
﴿وثمود الذين جابوا الصخر بالواد﴾ [الفَجر: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na vipi Alivyowafanya Thamūd, kaumu ya Ṣāliḥ, ambao waliweza kuchonga jabali na kufanya nyumba ndani yake |