Quran with Swahili translation - Surah Al-Fajr ayat 14 - الفَجر - Page - Juz 30
﴿إِنَّ رَبَّكَ لَبِٱلۡمِرۡصَادِ ﴾
[الفَجر: 14]
﴿إن ربك لبالمرصاد﴾ [الفَجر: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Mola wako,ewe Mtume, Anamwangalia mwenye kumuasi kwa kumpa muhula kidogo, kisha Humpatiliza kwa uwezo na ushindi |