Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 14 - يُونس - Page - Juz 11
﴿ثُمَّ جَعَلۡنَٰكُمۡ خَلَٰٓئِفَ فِي ٱلۡأَرۡضِ مِنۢ بَعۡدِهِمۡ لِنَنظُرَ كَيۡفَ تَعۡمَلُونَ ﴾
[يُونس: 14]
﴿ثم جعلناكم خلائف في الأرض من بعدهم لننظر كيف تعملون﴾ [يُونس: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tukawafanya nyinyi, enyi watu, ni badala yao katika ardhi baada ya makame ya wale walioangamizwa, ili tuangalie vipi mtafanya: mema au maovu, tupate kuwalipa kwa hayo, kulingana na matendo yenu |