Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 25 - يُونس - Page - Juz 11
﴿وَٱللَّهُ يَدۡعُوٓاْ إِلَىٰ دَارِ ٱلسَّلَٰمِ وَيَهۡدِي مَن يَشَآءُ إِلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ ﴾
[يُونس: 25]
﴿والله يدعو إلى دار السلام ويهدي من يشاء إلى صراط مستقيم﴾ [يُونس: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu Anawaita kwenye mabustani ya Pepo Yake Aliyowaandalia wanaojitegemeza Kwake, na Anawaongoza Anaowataka miongoni mwa viumbe vyake, Akawaafikia kuipata njia iliyolingana sawa, nayo ni Uislamu |