Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 48 - يُونس - Page - Juz 11
﴿وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[يُونس: 48]
﴿ويقولون متى هذا الوعد إن كنتم صادقين﴾ [يُونس: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na washirikina katika watu wako, ewe Mtume, wanasema, «Ni lini kitasimama Kiyama iwapo wewe na waliokufuata ni miongoni mwa wakweli katika yale mnayotuahidi kwayo?» |