Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 51 - يُونس - Page - Juz 11
﴿أَثُمَّ إِذَا مَا وَقَعَ ءَامَنتُم بِهِۦٓۚ ءَآلۡـَٰٔنَ وَقَدۡ كُنتُم بِهِۦ تَسۡتَعۡجِلُونَ ﴾
[يُونس: 51]
﴿أثم إذا ما وقع آمنتم به آلآن وقد كنتم به تستعجلون﴾ [يُونس: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, baada ya kushuka adhabu ya Mwenyezi Mungu kwenu, enyi washirikina, ndipo mtaamini, wakati ambapo Imani haitawafaa? Wakati huo mtaambiwa, ‘Je, sasa ndipo mnaamini na hapo nyuma mlikuwa mnaifanyia haraka?’» |