Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 82 - يُونس - Page - Juz 11
﴿وَيُحِقُّ ٱللَّهُ ٱلۡحَقَّ بِكَلِمَٰتِهِۦ وَلَوۡ كَرِهَ ٱلۡمُجۡرِمُونَ ﴾
[يُونس: 82]
﴿ويحق الله الحق بكلماته ولو كره المجرمون﴾ [يُونس: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu Atauimarisha ukweli niliokuja nao kutoka Kwake Ataufanya uwe juu ya ubatilifu wenu kwa maneno Yake na amri Yake, ingawa watu wahalifu wenye kufanya maasia, miongoni mwa jamaa za Fir'awn, wanachukia |