Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 96 - يُونس - Page - Juz 11
﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ حَقَّتۡ عَلَيۡهِمۡ كَلِمَتُ رَبِّكَ لَا يُؤۡمِنُونَ ﴾
[يُونس: 96]
﴿إن الذين حقت عليهم كلمت ربك لا يؤمنون﴾ [يُونس: 96]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika ya wale ambao limethibiti kwao neno la Mola Wako la kuwafukuza kwenye rehema Yake na kuwaadhibu, hawaziamini hoja za Mwenyezi Mungu, hawaukubali upweke Wake wala hawazifuati sheria Zake kivitendo |