Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 95 - يُونس - Page - Juz 11
﴿وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلَّذِينَ كَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ فَتَكُونَ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ ﴾
[يُونس: 95]
﴿ولا تكونن من الذين كذبوا بآيات الله فتكون من الخاسرين﴾ [يُونس: 95]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na usiwe, wala usiwe, ewe Mtume, ni miongoni mwa waliokanusha hoja za Mwenyezi Mungu na dalili Zake, ukawa ni katika waliopata hasara ambao Mwenyezi Mungu Amewakasirikia na wamepata mateso Yake |