Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 97 - يُونس - Page - Juz 11
﴿وَلَوۡ جَآءَتۡهُمۡ كُلُّ ءَايَةٍ حَتَّىٰ يَرَوُاْ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَلِيمَ ﴾
[يُونس: 97]
﴿ولو جاءتهم كل آية حتى يروا العذاب الأليم﴾ [يُونس: 97]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hata kama yatawajia wao kila mawaidha na mazingatio mpaka waishuhudie adhabu yenye kuumiza. Hapo wataamini, na haitawafaa Imani yao |