Quran with Swahili translation - Surah Al-‘adiyat ayat 1 - العَاديَات - Page - Juz 30
﴿وَٱلۡعَٰدِيَٰتِ ضَبۡحٗا ﴾
[العَاديَات: 1]
﴿والعاديات ضبحا﴾ [العَاديَات: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Anaapa kwa farasi wenye kwenda shoti katika njia Yake kumkabili adui, wakitoa sauti kwa kasi ya kukimbia. Haifai kwa kiumbe kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu. Kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni ushirikina |