Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 22 - هُود - Page - Juz 12
﴿لَا جَرَمَ أَنَّهُمۡ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ هُمُ ٱلۡأَخۡسَرُونَ ﴾
[هُود: 22]
﴿لا جرم أنهم في الآخرة هم الأخسرون﴾ [هُود: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ukweli ni kwamba wao kesho Akhera ni wenye kapata hasara zaidi kibiashara, kwa kuwa wao waliacha daraja za Pepo na kuchukuwa mashimo ya Moto, kwa hivyo wakawa kwenye Moto wa Jahanamu. Huko ndiko kupata hasara waziwazi |