Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 21 - هُود - Page - Juz 12
﴿أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ خَسِرُوٓاْ أَنفُسَهُمۡ وَضَلَّ عَنۡهُم مَّا كَانُواْ يَفۡتَرُونَ ﴾
[هُود: 21]
﴿أولئك الذين خسروا أنفسهم وضل عنهم ما كانوا يفترون﴾ [هُود: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao ndio wale waliopata hasara ya nafsi zao kwa kumzulia kwao Mwenyezi Mungu urongo na waliwaondokea wao wauungu waliokuwa wakiwazua na kudai kwamba wao watawaombea |