Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 68 - هُود - Page - Juz 12
﴿كَأَن لَّمۡ يَغۡنَوۡاْ فِيهَآۗ أَلَآ إِنَّ ثَمُودَاْ كَفَرُواْ رَبَّهُمۡۗ أَلَا بُعۡدٗا لِّثَمُودَ ﴾
[هُود: 68]
﴿كأن لم يغنوا فيها ألا إن ثمود كفروا ربهم ألا بعدا لثمود﴾ [هُود: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kama kwamba wao, kwa haraka ya kuondoka kwao na kutoeka kwao, hawakuishi humo. Jueni mtanabahi kwamba Thamūd walikanusha aya za Mola wao na hoja Zake. Jueni mtanabahi kwamba kuwa mbali na kufukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu ni kwa hao Thamūd; ni upotevu ulioje na unyonge ulioje huo wao |