×

Na wajumbe wetu walimjia Ibrahim kwa bishara njema, wakasema: Salama! Naye akasema: 11:69 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:69) ayat 69 in Swahili

11:69 Surah Hud ayat 69 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 69 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَلَقَدۡ جَآءَتۡ رُسُلُنَآ إِبۡرَٰهِيمَ بِٱلۡبُشۡرَىٰ قَالُواْ سَلَٰمٗاۖ قَالَ سَلَٰمٞۖ فَمَا لَبِثَ أَن جَآءَ بِعِجۡلٍ حَنِيذٖ ﴾
[هُود: 69]

Na wajumbe wetu walimjia Ibrahim kwa bishara njema, wakasema: Salama! Naye akasema: Salama! Hakukaa ila mara akaleta ndama wa kuchoma

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولقد جاءت رسلنا إبراهيم بالبشرى قالوا سلاما قال سلام فما لبث أن, باللغة السواحيلية

﴿ولقد جاءت رسلنا إبراهيم بالبشرى قالوا سلاما قال سلام فما لبث أن﴾ [هُود: 69]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika Malaika walimjia Ibrāhīm, amani imshukiye, wakimpa yeye na mke wake bishara ya Isḥḥḥaq na Ya'qūb baada yake, wakasema, «Salām (amani)» Akasema kuwarudishia maamkuzi yao, «Salām (amani)» Hapo akaondoka haraka na akrudi na mwanang>ombe wa kuchoma aliyenona ili wao wale
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek