×

Na waulize watu wa mji tulio kuwako, na msafara tulio kuja nao. 12:82 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:82) ayat 82 in Swahili

12:82 Surah Yusuf ayat 82 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 82 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿وَسۡـَٔلِ ٱلۡقَرۡيَةَ ٱلَّتِي كُنَّا فِيهَا وَٱلۡعِيرَ ٱلَّتِيٓ أَقۡبَلۡنَا فِيهَاۖ وَإِنَّا لَصَٰدِقُونَ ﴾
[يُوسُف: 82]

Na waulize watu wa mji tulio kuwako, na msafara tulio kuja nao. Na hakika sisi tunasema kweli

❮ Previous Next ❯

ترجمة: واسأل القرية التي كنا فيها والعير التي أقبلنا فيها وإنا لصادقون, باللغة السواحيلية

﴿واسأل القرية التي كنا فيها والعير التي أقبلنا فيها وإنا لصادقون﴾ [يُوسُف: 82]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Waliporejea, wakampa habari baba yao yaliyotokea na wakamtaka ahakikishe yale waliyomwambia wakisema, «Na waulize, ewe baba yetu, watu wa Misri na wale waliokuwa pamoja na sisi kwenye msafara tuliorudi nao. Na sisi ni wakweli kwa yale tuliyokusimulia.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek