Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 19 - الرَّعد - Page - Juz 13
﴿۞ أَفَمَن يَعۡلَمُ أَنَّمَآ أُنزِلَ إِلَيۡكَ مِن رَّبِّكَ ٱلۡحَقُّ كَمَنۡ هُوَ أَعۡمَىٰٓۚ إِنَّمَا يَتَذَكَّرُ أُوْلُواْ ٱلۡأَلۡبَٰبِ ﴾
[الرَّعد: 19]
﴿أفمن يعلم أنما أنـزل إليك من ربك الحق كمن هو أعمى إنما﴾ [الرَّعد: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, yule anayejua kwamba kile ulichokuja nacho, ewe Mtume, ndicho ukweli unaotoka kwa Mwenyezi Mungu na akauamini ni kama kipofu asiyeuona ukweli ambaye hakuamini? Hakika wanaowaidhika ni wenye akili timamu |