Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 45 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتٖ وَعُيُونٍ ﴾
[الحِجر: 45]
﴿إن المتقين في جنات وعيون﴾ [الحِجر: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wale waliomcha Mwenyezi Mungu, kwa kuyafuata Aliyoyaamrisha na kujiepusha na aliyoyakataza.watakuwa kwenye mabustani ya Pepo na mito ipitayo |