Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 44 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿لَهَا سَبۡعَةُ أَبۡوَٰبٖ لِّكُلِّ بَابٖ مِّنۡهُمۡ جُزۡءٞ مَّقۡسُومٌ ﴾
[الحِجر: 44]
﴿لها سبعة أبواب لكل باب منهم جزء مقسوم﴾ [الحِجر: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Una milango saba , kila mlango uko chini ya mwengine. Kila mlango utakuwa na fungu na sehemu la wafuasi wa Iblisi kulingana na matendo yao |