Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 89 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَقُلۡ إِنِّيٓ أَنَا ٱلنَّذِيرُ ٱلۡمُبِينُ ﴾
[الحِجر: 89]
﴿وقل إني أنا النذير المبين﴾ [الحِجر: 89]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na sema, «Mimi ndiye muonyaji mwenye kuyafunua wazi yale ambayo watu wanaongokea kwayo kwenye kumuamini Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu |