Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 19 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ مَا تُسِرُّونَ وَمَا تُعۡلِنُونَ ﴾
[النَّحل: 19]
﴿والله يعلم ما تسرون وما تعلنون﴾ [النَّحل: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu, Aliyetakata na kila aina ya upungufu, Anayajua matendo yenu yote, sawasawa yale mnayoyaficha ndani ya nafsi zenu kati ya hayo na yale mnayoyafanya waziwazi mbele ya wengine, na Atawalipa kwayo |