Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 20 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَٱلَّذِينَ يَدۡعُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ لَا يَخۡلُقُونَ شَيۡـٔٗا وَهُمۡ يُخۡلَقُونَ ﴾
[النَّحل: 20]
﴿والذين يدعون من دون الله لا يخلقون شيئا وهم يخلقون﴾ [النَّحل: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale waungu ambao washirikina wanawaabudu hawaumbi chochote hata kama ni kidogo vipi. Hao ni viumbe ambazo washirikina wamevitengeneza kwa mikono yao. Vipi basi wataviabudu |