×

Na mkizihisabu neema za Mwenyezi Mungu, hamwezi kuzidhibiti. Hakika Mwenyezi Mungu ni 16:18 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:18) ayat 18 in Swahili

16:18 Surah An-Nahl ayat 18 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 18 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿وَإِن تَعُدُّواْ نِعۡمَةَ ٱللَّهِ لَا تُحۡصُوهَآۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَغَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[النَّحل: 18]

Na mkizihisabu neema za Mwenyezi Mungu, hamwezi kuzidhibiti. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira, Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن تعدوا نعمة الله لا تحصوها إن الله لغفور رحيم, باللغة السواحيلية

﴿وإن تعدوا نعمة الله لا تحصوها إن الله لغفور رحيم﴾ [النَّحل: 18]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mkijaribu kuzidhibiti neema za Mwenyezi Mungu kwenu, ili mjue idadi yake, hamuwezi kuzidhibiti kwa wingi wake na utafauti wake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, ni Mwenye huruma kwenu, kwani Anasamehe kasoro zenu za kutotekeleza ushukuru wa neema, wala Hazikati kwenu, kwa kukiuka kwenu mipaka, wala Hawaharakishii mateso
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek